Roman Script    Reciting key words            Previous Sūrah    Quraan Index    Home  

80) Sūrat `Abasa

Printed format

80) سُورَة عَبَسَ

Toggle thick letters. Most people make the mistake of thickening thin letters in the words that have other (highlighted) thick letter Toggle to highlight thick letters خصضغطقظ رَ
`Abasa Wa Tawallá 1. Alikunja kipaji na akageuka, عَبَسَ ‌وَتَوَلَّى
'An Jā'ahu Al-'A`má 2. Kwa sababu alimjia kipofu! أَ‌نْ ج‍‍َ‍ا‌ءَهُ ‌الأَعْمَى
Wa Mā Yudrīka La`allahu Yazzakká 3. Na nini kitakujuulisha pengine yeye atatakasika? وَمَا‌ يُ‍‍دْ‌ر‍ِ‍ي‍‍كَ لَعَلَّ‍‍هُ يَزَّكَّى
'Aw Yadhdhakkaru Fatanfa`ahu Adh-Dhikrá 4. Au atawaidhika, na mawaidha yamfae? أَ‌وْ‌ يَذَّكَّرُ‌ فَتَ‍‌‍نْ‍‍فَعَهُ ‌ال‍‍ذِّكْ‍رَ‌ى
'Ammā Mani Astagh 5. Ama ajionaye hana haja, أَمَّ‍‍ا‌ مَنِ ‌اسْتَ‍‍غْ‍‍نَى
Fa'anta Lahu Taşaddá 6. Wewe ndio unamshughulikia? فَأَ‌نْ‍‍تَ لَ‍‍هُ تَ‍‍صَ‍‍د‍ّ‍َ‌ى
Wa Mā `Alayka 'Allā Yazzakká 7. Na si juu yako kama hakutakasika. وَمَا‌ عَلَ‍‍يْ‍‍كَ ‌أَلاَّ‌ يَزَّكَّى
Wa 'Ammā Man Jā'aka Yas`á 8. Ama anaye kujia kwa juhudi, وَ‌أَمَّ‍‍ا‌ مَ‍‌‍نْ ج‍‍َ‍ا‌ءَكَ يَسْعَى
Wa Huwa Yakhshá 9. Naye anaogopa, وَهُوَ‌ يَ‍‍خْ‍‍شَى
Fa'anta `Anhu Talahhá 10. Ndio wewe unampuuza? فَأَ‌نْ‍‍تَ عَ‍‌‍نْ‍‍هُ تَلَهَّى
Kallā 'Innahā Tadhkiratun 11. Sivyo hivyo! Huku ni kukumbushana. كَلاَّ‌ ‌إِنَّ‍‍هَا‌ تَذْكِ‍رَةٌ
Faman Shā'a Dhakarahu 12. Basi anaye penda akumbuke. فَمَ‍‌‍نْ ش‍‍َ‍ا‌ءَ‌ ‌ذَكَ‍رَهُ
Şuĥufin Mukarramatin 13. Yamo katika kurasa zilizo hishimiwa, فِي صُ‍‍حُفٍ‌ مُكَ‍رَّمَةٍ
Marfū`atin Muţahharatin 14. Zilizo inuliwa, zilizo takaswa. مَرْفُوعَةٍ‌ مُ‍‍طَ‍‍هَّ‍رَةٍ
Bi'aydī Safaratin 15. Zimo mikononi mwa Malaika waandishi, بِأَيْدِي سَفَ‍رَةٍ
Kirāmin Bararatin 16. Watukufu, wema. كِرَ‍‌ام ٍ‌ بَ‍رَ‌‍رَةٍ
Qutila Al-'Insānu Mā 'Akfarahu 17. Ameangamia mwanaadamu! Nini kinacho mkufurisha? قُ‍‍تِلَ ‌الإِ‌نْ‍‍س‍‍َ‍انُ مَ‍‍ا‌ ‌أَكْفَ‍رَهُ
Min 'Ayyi Shay'in Khalaqahu 18. Kwa kitu gani amemuumba? مِ‍‌‍نْ ‌أَيِّ شَ‍‍يْءٍ‌ خَ‍‍لَ‍‍ق‍‍َ‍‍هُ
Min Nuţfatin Khalaqahu Faqaddarahu 19. Kwa tone la manii, akamuumba na akamkadiria. مِ‍‌‍نْ نُ‍‍طْ‍‍فَةٍ خَ‍‍لَ‍‍قَ‍‍هُ فَ‍‍قَ‍‍دَّ‌‍رَهُ
Thumma As-Sabīla Yassarahu 20. Kisha akamsahilishia njia. ثُ‍‍مَّ ‌ال‍‍سَّب‍‍ِ‍ي‍‍لَ يَسَّ‍رَهُ
Thumma 'Amātahu Fa'aqbarahu 21. Kisha akamfisha, akamtia kaburini. ثُ‍‍مَّ ‌أَمَاتَ‍‍هُ فَأَ‍قْ‍‍بَ‍رَهُ
Thumma 'Idhā Shā'a 'Ansharahu 22. Kisha apendapo atamfufua. ثُ‍‍مَّ ‌إِ‌ذَ‌ا‌ ش‍‍َ‍ا‌ءَ‌ ‌أَ‌نْ‍‍شَ‍رَهُ
Kallā Lammā Yaqđi Mā 'Amarahu 23. La! Hajamaliza aliyo muamuru. كَلاَّ‌ لَ‍‍مَّ‍‍ا‌ يَ‍‍قْ‍‍‍‍ضِ مَ‍‍ا‌ ‌أَمَ‍رَهُ
Falyanžuri Al-'Insānu 'Ilá Ţa`āmihi 24. Hebu mtu na atazame chakula chake. فَلْيَ‍‌‍نْ‍‍‍‍ظُ‍‍ر‍ِ‍‌ ‌الإِ‌ن‍‍س‍‍َ‍انُ ‌إِلَى‌ طَ‍‍عَامِهِ
'Annā Şabab Al-Mā'a Şabbāan 25. Hakika Sisi tumemimina maji kwa nguvu, أَنَّ‍‍ا‌ صَ‍‍بَ‍‍بْ‍‍نَا‌ ‌الْم‍‍َ‍ا‌ءَ‌ صَ‍‍بّ‍‍اً
Thumma Shaqaq Al-'Arđa Shaqqāan 26. Tena tukaipasua pasua ardhi kwa nguvu, ثُ‍‍مَّ شَ‍‍قَ‍‍قْ‍‍نَا‌ ‌الأَ‌رْ‍ضَ شَ‍‍ق‍‍ّ‍‍اً
Fa'anbatnā Fīhā Ĥabbāan 27. Kisha tukaotesha humo nafaka, فَأَ‌نْ‍‍بَتْنَا‌ فِيهَا‌ حَ‍‍بّ‍‍اً
Wa `Inabāan Wa Qađbāan 28. Na zabibu, na mimea ya majani, وَعِنَبا‌ ً‌ ‌وَ‍قَ‍‍ضْ‍‍باً
Wa Zaytūnāan Wa Nakhlāan 29. Na mizaituni, na mitende, وَ‌زَيْتُونا‌ ً‌ ‌وَنَ‍‍خْ‍‍لاً
Wa Ĥadā'iqa Ghulbāan 30. Na bustani zenye miti iliyo songana baraabara, وَحَد‍َ‍‌ائِ‍‍قَ غُ‍‍لْباً
Wa Fākihatan Wa 'Abbāan 31. Na matunda, na malisho ya wanyama; وَفَاكِهَة ً‌ ‌وَ‌أَبّ‍‍اً
Matā`āan Lakum Wa Li'an`āmikum 32. Kwa manufaa yenu na mifugo yenu. مَتَاعا‌ ً‌ لَكُمْ ‌وَلِأَ‌نْ‍‍عَامِكُمْ
Fa'idhā Jā'ati Aş-Şākhkhatu 33. Basi utakapo kuja ukelele, فَإِ‌ذَ‌ا‌ ج‍‍َ‍ا‌ءَتِ ‌ال‍‍صَّ‍‍اخَّ‍‍ةُ
Yawma Yafirru Al-Mar'u Min 'Akhīhi 34. Siku ambayo mtu atamkimbia nduguye, يَ‍‍وْمَ يَفِ‍‍ر‍ّ‍ُ‌ ‌الْمَرْ‌ءُ‌ مِ‍‌‍نْ ‌أَ‍خِ‍‍يهِ
Wa 'Ummihi Wa 'Abīhi 35. Na mamaye na babaye, وَ‌أُمِّ‍‍هِ ‌وَ‌أَبِيهِ
Wa Şāĥibatihi Wa Banīhi 36. Na mkewe na wanawe - وَ‍صَ‍‍احِبَتِ‍‍هِ ‌وَبَنِيهِ
Likulli Amri'in Minhum Yawma'idhin Sha'nun Yughnīhi 37. Kila mtu miongoni mwao siku hiyo atakuwa لِكُلِّ ‌امْ‍‍رِئٍ‌ مِ‍‌‍نْ‍‍هُمْ يَوْمَئِذ‌‌ٍ‌ شَأْنٌ‌ يُ‍‍غْ‍‍نِيهِ
Wujūhun Yawma'idhin Musfiratun 38. Siku hiyo ziko nyuso zitazo nawiri, وُج‍‍ُ‍وهٌ‌ يَوْمَئِذ‌ٍ‌ مُسْفِ‍رَةٌ
Đāĥikatun Mustabshiratun 39. Zitacheka, zitachangamka; ضَ‍‍احِكَةٌ‌ مُسْتَ‍‍بْ‍‍شِ‍رَةٌ
Wa Wujūhun Yawma'idhin `Alayhā Ghabaratun 40. Na nyuso siku hiyo zitakuwa na mavumbi, وَ‌وُج‍‍ُ‍وهٌ‌ يَوْمَئِذٍ‌ عَلَيْهَا‌ غَ‍‍بَ‍رَةٌ
Tarhaquhā Qataratun 41. Giza totoro litazifunika, تَرْهَ‍‍قُ‍‍هَا‌ قَ‍‍تَ‍رَةٌ
'Ūlā'ika Humu Al-Kafaratu Al-Fajaratu 42. Hao ndio makafiri watenda maovu.  أ‍ُ‍‌وْل‍‍َ‍ائِكَ هُمُ ‌الْكَفَ‍رَةُ ‌الْفَجَ‍رَةُ
Toggle thick letters. Most people make the mistake of thickening thin letters in the words that have other (highlighted) thick letter Toggle to highlight thick letters خصضغطقظ رَ
Next Sūrah