Roman Script    Reciting key words            Previous Sūrah    Quraan Index    Home  

79) Sūrat An-Nāzi`āt

Printed format

79) سُورَة النَّازِعَات

Toggle thick letters. Most people make the mistake of thickening thin letters in the words that have other (highlighted) thick letter Toggle to highlight thick letters خصضغطقظ رَ
Wa An-Nāzi`āti Gharqāan 1. Naapa kwa wanao komoa kwa nguvu, وَ‌ال‍‍نَّ‍‍ا‌زِع‍‍َ‍اتِ غَ‍‍رْ‍ق‍‍اً
Wa An-Nāshiţāti Nashţāan 2. Na kwa wanao toa kwa upole, وَ‌ال‍‍نَّ‍‍اشِ‍‍طَ‍‍اتِ نَشْ‍‍ط‍‍اً
Wa As-Sābiĥāti Sabĥāan 3. Na wanao ogelea, وَ‌السَّابِح‍‍َ‍اتِ سَ‍‍بْ‍‍حاً
Fālssābiqāti Sabqāan 4. Wakishindana mbio, فَالسَّابِ‍‍قَ‍‍اتِ سَ‍‍بْ‍‍‍‍ق‍‍اً
Fālmudabbirāti 'Aman 5. Wakidabiri mambo. فَالْمُدَبِّرَ‍‌اتِ ‌أَمْر‌اً
Yawma Tarjufu Ar-jifatu 6. Siku kitapo tetemeka cha kutetemeka, يَ‍‍وْمَ تَرْجُفُ ‌ال‍رَّ‌اجِفَةُ
Tatba`uhā Ar-difatu 7. Kifuate cha kufuatia. تَتْبَعُهَا‌ ‌ال‍رَّ‌ا‌دِفَةُ
Qulūbun Yawma'idhin Wājifatun 8. Siku hiyo nyoyo zitapiga piga, قُ‍‍ل‍‍ُ‍وبٌ‌ يَوْمَئِذ‌ٍ‌ ‌وَ‌اجِفَةٌ
'AbşāruKhāshi`atun 9. Macho yatainama chini. أَبْ‍‍‍‍صَ‍‍ا‌رُهَا‌ خَ‍‍اشِعَةٌ
Yaqūlūna 'A'innā Lamardūdūna Fī Al-Ĥāfirati 10. Sasa wanasema: Ati kweli tutarudishwa kwenye يَ‍قُ‍‍ول‍‍ُ‍ونَ ‌أَئِ‍‍نَّ‍‍ا‌ لَمَرْ‌دُ‌و‌د‍ُ‍‌ونَ فِي ‌الْحَافِ‍رَةِ
'A'idhā Kunnā `Ižāmāan Nakhiratan 11. Hata tukiwa mifupa iliyo bunguliwa? أَئِذَ‌ا‌ كُ‍‍نَّ‍‍ا‌ عِ‍‍ظَ‍‍اما‌ ً‌ نَ‍‍خِ‍رَةً
Qālū Tilka 'Idhāan Karratun Khāsiratun 12. Wanasema: Basi marejeo hayo ni yenye khasara! قَ‍‍الُو‌ا‌ تِلْكَ ‌إِ‌ذ‌ا‌‌ ً‌ كَ‍رَّةٌ خَ‍‍اسِ‍رَةٌ
Fa'innamā Hiya Zajratun Wāĥidatun 13. Kwa hakika hayo ni ukelele mmoja tu, فَإِنَّ‍‍مَا‌ هِيَ ‌زَجْ‍‍‍رَةٌ‌ ‌وَ‌احِ‍‍د‍َ‍ةٌ
Fa'idhā Hum Bis-Sāhirati 14. Mara watakuwa kwenye uwanda wa mkutano! فَإِ‌ذَ‌ا‌ هُمْ بِ‍ال‍‍سَّاهِ‍رَةِ
Hal 'Tāka Ĥadīthu Mūsá 15. Je! Imekufikia hadithi ya Musa? هَلْ ‌أت‍‍َ‍اكَ حَد‍ِ‍ي‍‍ثُ مُوسَى
'Idh Nādāhu Rabbuhu Bil-Wādi Al-Muqaddasi Ţuwan 16. Mola wake Mlezi alipo mwita katika bonde إِ‌ذْ‌ نَا‌د‍َ‍‌اهُ ‌‍رَبُّ‍‍هُ بِ‍الْو‍َ‍‌ا‌دِ‌ ‌الْمُ‍‍قَ‍‍دَّسِ طُ‍‍و‌ىً
Adh/hab 'Ilá Fir`awna 'Innahu Ţaghá 17. Nenda kwa Firauni. Hakika yeye amezidi jeuri. ا‌ذْهَ‍‍بْ ‌إِلَى‌ فِ‍‍رْعَ‍‍وْنَ ‌إِنَّ‍‍هُ طَ‍‍غَ‍‍ى
Faqul Hal Laka 'Ilá 'An Tazakká 18. Umwambie: Je! Unapenda kujitakasa? فَ‍قُ‍‍لْ هَلْ لَكَ ‌إِلَ‍‍ى‌ ‌أَ‌نْ تَزَكَّى
Wa 'Ahdiyaka 'Ilá Rabbika Fatakhshá 19. Nami nitakuongoa ufike kwa Mola wako Mlezi, وَ‌أَهْدِيَكَ ‌إِلَى‌ ‌‍رَبِّكَ فَتَ‍‍خْ‍‍شَى
Fa'arāhu Al-'Āyata Al-Kub 20. Basi alimwonyesha Ishara kubwa. فَأَ‌رَ‍‌اهُ ‌الآيَةَ ‌الْكُ‍‍بْ‍‍‍رَ‌ى
Fakadhdhaba Wa `Aşá 21. Lakini aliikadhibisha na akaasi. فَكَذَّبَ ‌وَعَ‍‍صَ‍‍ى
Thumma 'Adbara Yas`á 22. Kisha alirudi nyuma, akaingia kufanya juhudi. ثُ‍‍مَّ ‌أَ‌دْبَ‍رَ‌ يَسْعَى
Faĥashara Fanādá 23. Akakusanya watu akanadi. فَحَشَ‍رَ‌ فَنَا‌دَ‌ى
Faqāla 'Anā Rabbukumu Al-'A`lá 24. Akasema: Mimi ndiye Mola wenu Mlezi mkuu فَ‍قَ‍‍الَ ‌أَنَا‌ ‌‍رَبُّكُمُ ‌الأَعْلَى
Fa'akhadhahu Allāhu Nakāla Al-'Ākhirati Wa Al-'Ūlá 25. Basi hapo Mwenyezi Mungu akamshika kumuadhibu فَأَ‍خَ‍‍ذَهُ ‌اللَّ‍‍هُ نَك‍‍َ‍الَ ‌الآ‍‍خِ‍رَةِ ‌وَ‌الأ‍ُ‍‌ولَى
'Inna Fī Dhālika La`ibratan Liman Yakhshá 26. Kwa hakika katika haya yapo mazingatio kwa إِنَّ فِي ‌ذَلِكَ لَعِ‍‍بْ‍‍‍رَة ً‌ لِمَ‍‌‍نْ يَ‍‍خْ‍‍شَى
'A'antum 'Ashaddu Khalqāan 'Ami As-Samā'u ۚ Banāhā 27. Je! Ni vigumu zaidi kukuumbeni nyinyi au أَ‌أَ‌نْ‍‍تُمْ ‌أَشَدُّ‌ خَ‍‍لْ‍‍ق‍‍اً‌ ‌أَمِ ‌ال‍‍سَّم‍‍َ‍ا‌ءُ‌ ۚ بَنَاهَا
Rafa`a Samkahā Fasawwāhā 28. Akainua kimo chake, na akaitengeneza vizuri. رَفَعَ سَمْكَهَا‌ فَسَوَّ‌اهَا
Wa 'Aghţasha Laylahā Wa 'Akhraja Đuĥāhā 29. Na akautia giza usiku wake, na akautokeza وَ‌أَ‍‍غْ‍‍طَ‍‍شَ لَيْلَهَا‌ ‌وَ‌أَ‍خْ‍رَجَ ضُ‍‍حَاهَا
Wa Al-'Arđa Ba`da Dhālika Daĥāhā 30. Na juu ya hivyo ameitandaza ardhi. وَ‌الأَ‌رْ‍ضَ بَعْدَ‌ ‌ذَلِكَ ‌دَحَاهَا
'Akhraja Minhā Mā'ahā Wa Mar`āhā 31. Akatoa ndani yake maji yake na malisho yake, أَ‍خْ‍رَجَ مِ‍‌‍نْ‍‍هَا‌ م‍‍َ‍ا‌ءَهَا‌ ‌وَمَرْعَاهَا
Wa Al-Jibāla 'Arsāhā 32. Na milima akaisimamisha, وَ‌الْجِب‍‍َ‍الَ ‌أَ‌رْسَاهَا
Matā`āan Lakum Wa Li'an`āmikum 33. Kwa nafuu yenu na mifugo yenu. مَتَاعا‌ ً‌ لَكُمْ ‌وَلِأَ‌نْ‍‍عَامِكُمْ
Fa'idhā Jā'ati Aţ-Ţāmmatu Al-Kub 34. Basi itakapo fika hiyo balaa kubwa, فَإِ‌ذَ‌ا‌ ج‍‍َ‍ا‌ءَتِ ‌ال‍‍طَّ‍‍امَّ‍‍ةُ ‌الْكُ‍‍بْ‍‍‍رَ‌ى
Yawma Yatadhakkaru Al-'Insānu Mā Sa`á 35. Siku ambayo mtu atakumbuka aliyo yafanya, يَ‍‍وْمَ يَتَذَكَّرُ‌ ‌الإِ‌ن‍‍س‍‍َ‍انُ مَا‌ سَعَى
Wa Burrizati Al-Jaĥīmu Liman Yará 36. Na Jahannamu itadhihirishwa kwa mwenye kuona, وَبُرِّ‌زَتِ ‌الْجَح‍‍ِ‍ي‍‍مُ لِمَ‍‌‍نْ يَ‍رَ‌ى
Fa'ammā Man Ţaghá 37. Basi ama yule aliye zidi ujeuri, فَأَمَّ‍‍ا‌ مَ‍‌‍نْ طَ‍‍غَ‍‍ى
Wa 'Āthara Al-Ĥayāata Ad-Dun 38. Na akakhiari maisha ya dunia, وَ‌آثَ‍رَ‌الْحَي‍‍َ‍اةَ ‌ال‍‍دُّ‌نْ‍‍يَا
Fa'inna Al-Jaĥīma Hiya Al-Ma'wá 39. Kwa hakika Jahannamu ndiyo makaazi yake! فَإِنَّ ‌الْجَح‍‍ِ‍ي‍‍مَ هِيَ ‌الْمَأْ‌وَ‌ى
Wa 'Ammā Man Khāfa Maqāma Rabbihi Wa Nahá An-Nafsa `Ani Al-Hawá 40. Na ama yule anaye ogopa kusimamishwa mbele وَ‌أَمَّ‍‍ا‌ مَ‍‌‍نْ خَ‍‍افَ مَ‍‍قَ‍‍امَ ‌‍رَبِّ‍‍هِ ‌وَنَهَى‌ ‌ال‍‍نَّ‍‍فْسَ عَنِ ‌الْهَوَ‌ى
Fa'inna Al-Jannata Hiya Al-Ma'wá 41. Basi huyo, Pepo itakuwa ndiyo makaazi yake! فَإِنَّ ‌الْجَ‍‍نَّ‍‍ةَ هِيَ ‌الْمَأْ‌وَ‌ى
Yas'alūnaka `Ani As-Sā`ati 'Ayyāna Mursāhā 42. Wanakuuliza Saa (ya Kiyama) itakuwa lini? يَسْأَلُونَكَ عَنِ ‌ال‍‍سَّاعَةِ ‌أَيّ‍‍َ‍انَ مُرْسَاهَا
Fīma 'Anta Min Dhik 43. Una nini wewe hata uitaje? ف‍‍ِ‍ي‍‍مَ ‌أَ‌نْ‍‍تَ مِ‍‌‍نْ ‌ذِكْ‍رَ‌اهَا
'Ilá Rabbika Muntahāhā 44. Kwa Mola wako Mlezi ndio mwisho wake. إِلَى‌ ‌‍رَبِّكَ مُ‍‌‍ن‍‍تَهَاهَا
'Innamā 'Anta Mundhiru Man Yakhshāhā 45. Kwa hakika wewe ni mwonyaji tu kwa mwenye إِنَّ‍‍مَ‍‍ا‌ ‌أَ‌نْ‍‍تَ مُ‍‌‍ن‍‍ذِ‌ر‍ُ‍‌ مَ‍‌‍نْ يَ‍‍خْ‍‍شَاهَا
Ka'annahum Yawma Yarawnahā Lam Yalbathū 'Illā `Ashīyatan 'Aw Đuĥāhā 46. Ni kama kwamba wao siku watapo iona (hiyo كَأَنَّ‍‍هُمْ يَ‍‍وْمَ يَ‍رَ‌وْنَهَا‌ لَمْ يَلْبَثُ‍‍و‌ا‌ ‌إِلاَّ‌ عَشِيَّةً ‌أَ‌وْ‌ ضُ‍‍حَاهَا
Toggle thick letters. Most people make the mistake of thickening thin letters in the words that have other (highlighted) thick letter Toggle to highlight thick letters خصضغطقظ رَ
Next Sūrah