Roman Script    Reciting key words            Previous Sūrah    Quraan Index    Home  

75) Sūrat Al-Qiyāmah

Printed format

75) سُورَة الْقِيَامَه

Toggle thick letters. Most people make the mistake of thickening thin letters in the words that have other (highlighted) thick letter Toggle to highlight thick letters خصضغطقظ رَ
Lā 'Uqsimu Biyawmi Al-Qiyāmati 1. Ninaapa kwa Siku ya Kiyama! لاَ‌ ‌أُ‍قْ‍‍سِمُ بِيَ‍‍وْمِ ‌الْ‍‍قِ‍‍يَامَةِ
Wa Lā 'Uqsimu Bin-Nafsi Al-Lawwāmati 2. Na ninaapa kwa nafsi inayo jilaumu! وَلاَ‌ ‌أُ‍قْ‍‍سِمُ بِ‍ال‍‍نَّ‍‍فْسِ ‌ال‍‍لَّوَّ‌امَةِ
'Ayaĥsabu Al-'Insānu 'Allan Najma`a `Ižāmahu 3. Anadhani mtu kuwa Sisi hatutaikusanya mifupa أَيَحْسَبُ ‌الإِ‌ن‍‍س‍‍َ‍انُ ‌أَلَّ‍‌‍نْ نَ‍‍جْ‍‍مَعَ عِ‍‍ظَ‍‍امَهُ
Balá Qādirīna `Alá 'An Nusawwiya Banānahu 4. Kwani! Sisi tunaweza hata kuziweka sawa sawa بَلَى‌ قَ‍‍ا‌دِ‌ر‍ِ‍ي‍‍نَ عَلَ‍‍ى‌ ‌أَ‌نْ نُسَوِّيَ بَنَانَهُ
Bal Yurīdu Al-'Insānu Liyafjura 'Amāmahu 5. Lakini mtu anataka tu kuendelea na maasi kwa بَلْ يُ‍‍ر‍ِ‍ي‍‍دُ‌ ‌الإِ‌ن‍‍س‍‍َ‍انُ لِيَفْجُ‍رَ‌ ‌أَمَامَهُ
Yas'alu 'Ayyāna Yawmu Al-Qiyāmati 6. Anauliza: Lini itakuwa hiyo Siku ya Kiyama? يَسْأَلُ ‌أَيّ‍‍َ‍انَ يَ‍‍وْمُ ‌الْ‍‍قِ‍‍يَامَةِ
Fa'idhā Bariqa Al-Başaru 7. Basi jicho litapo dawaa, فَإِ‌ذَ‌ا‌ بَ‍‍رِ‍‍قَ ‌الْبَ‍‍صَ‍‍رُ
Wa Khasafa Al-Qamaru 8. Na mwezi utapo patwa, وَ‍خَ‍‍سَفَ ‌الْ‍‍قَ‍‍مَرُ
Wa Jumi`a Ash-Shamsu Wa Al-Qamaru 9. Na likakusanywa jua na mwezi, وَجُمِعَ ‌ال‍‍شَّمْسُ ‌وَ‌الْ‍‍قَ‍‍مَرُ
Yaqūlu Al-'Insānu Yawma'idhin 'Ayna Al-Mafarru 10. Siku hiyo mtu atasema: Yako wapi makimbilio? يَ‍قُ‍‍ولُ ‌الإِ‌ن‍‍س‍‍َ‍انُ يَوْمَئِذٍ‌ ‌أَيْ‍‍نَ ‌الْمَفَرُّ
Kallā Lā Wazara 11. La! Hapana pa kukimbilia! كَلاَّ‌ لاَ‌ ‌وَ‌زَ‌‍رَ
'Ilá Rabbika Yawma'idhin Al-Mustaqarru 12. Siku hiyo pa kutua ni kwa Mola wako Mlezi إِلَى‌ ‌‍رَبِّكَ يَوْمَئِذ‌‌ٍ‌الْمُسْتَ‍‍قَ‍‍رُّ
Yunabba'u Al-'Insānu Yawma'idhin Bimā Qaddama Wa 'Akhkhara 13. Siku hiyo ataambiwa aliyo yatanguliza na يُنَبَّأُ‌ ‌الإِ‌ن‍‍س‍‍َ‍انُ يَوْمَئِذ‌ٍ‌ بِمَا‌ قَ‍‍دَّمَ ‌وَ‌أَ‍خَّ‍رَ
Bali Al-'Insānu `Alá Nafsihi Başīratun 14. Bali mtu ni hoja juu ya nafsi yake. بَلِ ‌الإِ‌ن‍‍س‍‍َ‍انُ عَلَى‌ نَفْسِ‍‍هِ بَ‍‍صِ‍‍ي‍رَةٌ
Wa Law 'Alqá Ma`ādhīrahu 15. Na ingawa atatoa chungu ya udhuru. وَلَوْ‌ ‌أَلْ‍‍قَ‍‍ى‌ مَعَا‌ذِي‍رَهُ
Lā Tuĥarrik Bihi Lisānaka Lita`jala Bihi 16. Usiutikisie huu wahyi ulimi wako kwa kuufanyia لاَ‌ تُحَرِّكْ بِ‍‍هِ لِسَانَكَ لِتَعْجَلَ بِ‍‍هِ
'Inna `Alaynā Jam`ahu Wa Qur'ānahu 17. Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha. إِنَّ عَلَيْنَا‌ جَمْعَ‍‍هُ ‌وَ‍قُ‍‍رْ‌آنَهُ
Fa'idhā Qara'nāhu Fa Attabi` Qur'ānahu 18. Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma فَإِ‌ذَ‌ا‌ قَ‍رَ‌أْن‍‍َ‍اهُ فَاتَّبِعْ قُ‍‍رْ‌آنَهُ
Thumma 'Inna `Alaynā Bayānahu 19. Kisha ni juu yetu kuubainisha. ثُ‍‍مَّ ‌إِنَّ عَلَيْنَا‌ بَيَانَهُ
Kallā Bal Tuĥibbūna Al-`Ājilata 20. Hasha! Bali nyinyi mnapenda maisha ya duniani, كَلاَّ‌ بَلْ تُحِبّ‍‍ُ‍ونَ ‌الْعَاجِلَةَ
Wa Tadharūna Al-'Ākhirata 21. Na mnaacha maisha ya Akhera. وَتَذَ‌ر‍ُ‍‌ونَ ‌الآ‍‍خِ‍رَةَ
Wujūhun Yawma'idhin Nāđiratun 22. Zipo nyuso siku hiyo zitao ng'ara, وُج‍‍ُ‍وهٌ‌ يَوْمَئِذ‌ٍ‌ نَاضِ‍رَةٌ
'Ilá Rabbihā Nāžiratun 23. Zinamwangallia Mola wao Mlezi. إِلَى‌ ‌‍رَبِّهَا‌ نَاظِ‍رَةٌ
Wa Wujūhun Yawma'idhin Bāsiratun 24. Na zipo nyuso siku hiyo zitakao kunjana. وَ‌وُج‍‍ُ‍وهٌ‌ يَوْمَئِذ‌ٍ‌ بَاسِ‍رَةٌ
Tažunnu 'An Yuf`ala Bihā Fāqiratun 25. Zitajua ya kuwa zitafikiwa na livunjalo uti تَ‍ظُ‍‍نُّ ‌أَ‌نْ يُفْعَلَ بِهَا‌ فَاقِ‍رَةٌ
Kallā 'Idhā Balaghati At-Taqī 26. La, hasha! (Roho) itakapo fikia kwenye mafupa كَلاَّ‌ ‌إِ‌ذَ‌ا‌ بَلَ‍‍غَ‍‍تِ ‌ال‍‍تَّ‍رَ‌اقِ‍‍ي
Wa Qīla Man ۜ Rāqin 27. Na pakasemwa: Nani wa kumganga? وَ‍قِ‍‍ي‍‍لَ مَ‍‌‍نْ ۜ ‌‍رَ‌اقٍ
Wa Žanna 'Annahu Al-Firāqu 28. Na mwenyewe akajua kwa hakika kuwa huko ndiko وَ‍ظَ‍‍نَّ ‌أَنَّ‍‍هُ ‌الْفِ‍رَ‌اقُ
Wa At-Taffati As-Sāqu Bis-Sāqi 29. Na utapo ambatishwa muundi kwa muundi, وَ‌الْتَفَّتِ ‌ال‍‍سّ‍‍َ‍اقُ بِ‍ال‍‍سَّاقِ
'Ilá Rabbika Yawma'idhin Al-Masāqu 30. Siku hiyo ndiyo kuchungwa kupelekwa kwa Mola إِلَى‌ ‌‍رَبِّكَ يَوْمَئِذ‌‌ٍ‌الْمَسَاقُ
Falā Şaddaqa Wa Lā Şallá 31. Kwa sababu hakusadiki, wala hakusali. فَلاَ‌ صَ‍‍دَّ‍‍قَ ‌وَلاَ‌ صَ‍‍لَّى
Wa Lakin Kadhdhaba Wa Tawallá 32. Bali alikanusha, na akageuka. وَلَكِ‍‌‍نْ كَذَّبَ ‌وَتَوَلَّى
Thumma Dhahaba 'Ilá 'Ahlihi Yatamaţţá 33. Kisha akenda kwa ahali zake kwa matao. ثُ‍‍مَّ ‌ذَهَبَ ‌إِلَ‍‍ى‌ ‌أَهْلِ‍‍هِ يَتَمَ‍‍ط‍‍ّ‍‍َى
'Awlá Laka Fa'awlá 34. Ole wako, ole wako! أَ‌وْلَى‌ لَكَ فَأَ‌وْلَى
Thumma 'Awlá Laka Fa'awlá 35. Kisha Ole wako, ole wako! ثُ‍‍مَّ ‌أَ‌وْلَى‌ لَكَ فَأَ‌وْلَى
'Ayaĥsabu Al-'Insānu 'An Yutraka Sudan 36. Ati anadhani binaadamu kuwa ataachwa bure? أَيَحْسَبُ ‌الإِ‌ن‍‍س‍‍َ‍انُ ‌أَ‌نْ يُتْ‍رَكَ سُ‍‍د‌ىً
'Alam Yaku Nuţfatan Min Manīyin Yum 37. Kwani hakuwa yeye tone ya manii lilio shushwa? أَلَمْ يَكُ نُ‍‍طْ‍‍فَة ً‌ مِ‍‌‍نْ مَنِيٍّ‌ يُمْنَى
Thumma Kāna `Alaqatan Fakhalaqa Fasawwá 38. Kisha akawa kidonge cha damu, tena Mwenyezi ثُ‍‍مَّ ك‍‍َ‍انَ عَلَ‍‍قَ‍‍ة‌ ً‌ فَ‍‍خَ‍‍لَ‍‍قَ فَسَوَّ‌ى
Faja`ala Minhu Az-Zawjayni Adh-Dhakara Wa Al-'Unthá 39. Kisha akamfanya namna mbili, mwanamume na فَجَعَلَ مِ‍‌‍نْ‍‍هُ ‌ال‍‍زَّ‌وْجَ‍‍يْ‍‍نِ ‌ال‍‍ذَّكَ‍رَ‌ ‌وَ‌الأُ‌ن‍‍ثَى
'Alaysa Dhālika Biqādirin `Alá 'An Yuĥyiya Al-Mawtá 40. Je! Huyo hakuwa ni Muweza wa kufufua wafu? أَلَ‍‍يْ‍‍سَ ‌ذَلِكَ بِ‍‍قَ‍‍ا‌دِ‌ر‍ٍ‍‌ عَلَ‍‍ى‌ ‌أَ‌نْ يُحْيِيَ ‌الْمَوْتَى
Toggle thick letters. Most people make the mistake of thickening thin letters in the words that have other (highlighted) thick letter Toggle to highlight thick letters خصضغطقظ رَ
Next Sūrah